sw_tn/num/15/22.md

20 lines
385 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Mungu anendelea kumwmbia Musa kitu cha kuwaambia watu.
# Taarifa kwa ujumla
Neno "m" linawakilisha waisraeli
# ili kutoa harufu nzuri kwa BWANA
Kumpendezsha BWANA kwa kutoa sadaka hiyo.
# lazima itengenezwe sadaka ya unga nasadaka ya vinywaji
"lazima mtengeneze sadakaya unga na sadaka ya vinywaji"
# kama ilivyoagizwa katika amri
"kama amri inavyoagiza"