sw_tn/num/15/22.md

385 B

Sentensi unganishi

Mungu anendelea kumwmbia Musa kitu cha kuwaambia watu.

Taarifa kwa ujumla

Neno "m" linawakilisha waisraeli

ili kutoa harufu nzuri kwa BWANA

Kumpendezsha BWANA kwa kutoa sadaka hiyo.

lazima itengenezwe sadaka ya unga nasadaka ya vinywaji

"lazima mtengeneze sadakaya unga na sadaka ya vinywaji"

kama ilivyoagizwa katika amri

"kama amri inavyoagiza"