# Sentensi unganishi Mungu anendelea kumwmbia Musa kitu cha kuwaambia watu. # Taarifa kwa ujumla Neno "m" linawakilisha waisraeli # ili kutoa harufu nzuri kwa BWANA Kumpendezsha BWANA kwa kutoa sadaka hiyo. # lazima itengenezwe sadaka ya unga nasadaka ya vinywaji "lazima mtengeneze sadakaya unga na sadaka ya vinywaji" # kama ilivyoagizwa katika amri "kama amri inavyoagiza"