sw_tn/num/14/31.md

16 lines
356 B
Markdown

# maiti zenu zitaanguka
"mtakufa"
# Watoto wenu watakuwa wachungaji kwenye jangwa hili
"watoto wenu watazungukazunguka kwenye jangwa hili" kwa sababu wachungaji huzungukazunguka wakitafuta malisho.
# Lazima watabeba madhara ya matendo yenu
"Lazima wapate mateso kwa sababu ya matendo yenu"
# mpaka mwisho wa maiti ya mwisho
"mpaka wote mtakapokufa"