sw_tn/num/14/31.md

356 B

maiti zenu zitaanguka

"mtakufa"

Watoto wenu watakuwa wachungaji kwenye jangwa hili

"watoto wenu watazungukazunguka kwenye jangwa hili" kwa sababu wachungaji huzungukazunguka wakitafuta malisho.

Lazima watabeba madhara ya matendo yenu

"Lazima wapate mateso kwa sababu ya matendo yenu"

mpaka mwisho wa maiti ya mwisho

"mpaka wote mtakapokufa"