# maiti zenu zitaanguka "mtakufa" # Watoto wenu watakuwa wachungaji kwenye jangwa hili "watoto wenu watazungukazunguka kwenye jangwa hili" kwa sababu wachungaji huzungukazunguka wakitafuta malisho. # Lazima watabeba madhara ya matendo yenu "Lazima wapate mateso kwa sababu ya matendo yenu" # mpaka mwisho wa maiti ya mwisho "mpaka wote mtakapokufa"