sw_tn/num/11/33.md

12 lines
288 B
Markdown

# wakati ile nyama ikiwa bado iko kwenye meno, wakiwa bado wanatafuna
Sentensi hizi zinamaanishakitu kimoja. "wakati walipokuwa bado wanakula ile nyama"
# Mahali pale paliitwa Kibroti Hataava
"walipaita mahali pale Kibroti Hataava"
# Hazeroti
Hili ni eneo la mahali fulani jangwani