sw_tn/num/11/33.md

288 B

wakati ile nyama ikiwa bado iko kwenye meno, wakiwa bado wanatafuna

Sentensi hizi zinamaanishakitu kimoja. "wakati walipokuwa bado wanakula ile nyama"

Mahali pale paliitwa Kibroti Hataava

"walipaita mahali pale Kibroti Hataava"

Hazeroti

Hili ni eneo la mahali fulani jangwani