# wakati ile nyama ikiwa bado iko kwenye meno, wakiwa bado wanatafuna Sentensi hizi zinamaanishakitu kimoja. "wakati walipokuwa bado wanakula ile nyama" # Mahali pale paliitwa Kibroti Hataava "walipaita mahali pale Kibroti Hataava" # Hazeroti Hili ni eneo la mahali fulani jangwani