sw_tn/num/11/31.md

446 B

kware

ndege mdogo

kiasi cha umabli wa safari ya siku moja upande huu na umbali wa siku moja upande mwingine

"ni umbali wa siku moja ambao mtu anaweza kwenda katika uelekeo wowotde.

kiasi cha mita moja toka uso wa dunia

"kiasi cha sentimita 92" au "mita moja"

hakuna aliyekusanya pungufu ya mita mbili

"kila mmoja alikusanya si chini ya mita mbili za ujazo"

mita mbii za ujazo

mita moja ya ujazo ni saw na lita 220."lita 2,200"