sw_tn/num/11/31.md

20 lines
446 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kware
ndege mdogo
# kiasi cha umabli wa safari ya siku moja upande huu na umbali wa siku moja upande mwingine
"ni umbali wa siku moja ambao mtu anaweza kwenda katika uelekeo wowotde.
# kiasi cha mita moja toka uso wa dunia
"kiasi cha sentimita 92" au "mita moja"
# hakuna aliyekusanya pungufu ya mita mbili
"kila mmoja alikusanya si chini ya mita mbili za ujazo"
# mita mbii za ujazo
mita moja ya ujazo ni saw na lita 220."lita 2,200"