# kware ndege mdogo # kiasi cha umabli wa safari ya siku moja upande huu na umbali wa siku moja upande mwingine "ni umbali wa siku moja ambao mtu anaweza kwenda katika uelekeo wowotde. # kiasi cha mita moja toka uso wa dunia "kiasi cha sentimita 92" au "mita moja" # hakuna aliyekusanya pungufu ya mita mbili "kila mmoja alikusanya si chini ya mita mbili za ujazo" # mita mbii za ujazo mita moja ya ujazo ni saw na lita 220."lita 2,200"