sw_tn/num/11/11.md

909 B

Taarifa kwa ujumla

Musa anamlalamikia BWANA akitumia maswali mengi yasitotaka majibu.

Kwa nini umemtendea mtumishi wako vibaya namna? kwa nini hujapendezwa na mimi?

"usinitendee mimi, mtumishi wako, vibaya namna hiyo." au "usiwe na hasira dhidi yangu."

Umenifanya kubeba mizigo ya hawa watu

"umenifanya niajibike kwa ajili ya hawa watu"

Je, mimi ndiye niliyewatungia mimba hawa watu? Mimi ndiye niliyewazaa kiasi kwamba unaniambia?

"Mimi si baba wa hawa watu. Kwa hiyo si sahihi kuniambia mimi."

wabebe kwa ukaribu vifufani mwako kama baba abebavyo mtoto wake

Maana yake ni kwamba Musa analazimika kuajibika kwa watu ambao hawawezi kujilinda wenyewe, kama vile mzazi alindavyo kichanga.

Je, nitawabeba mpaka kwenye nchi ... mababu zao kuwapa?

""Usinitegeme mimi kuwabeba... mpaka kwenye uliyowaahidi mababu zao kuwapa" au "siwezi kuwabeba... mpaka kwenye nchi uliyowaahidi mababu zao."