sw_tn/num/10/33.md

16 lines
320 B
Markdown

# Walisafiri
"kiwakilishi cha "wa" kinamaanisha Waisraeli
# mlima wa BWANA
Huu ni mlima Sinai. "Mlima Sinai ni mlima wa BWANA"
# Sandukula agano la BWANA liliwatangulia
"wale wanaume walilibeba sanduku la agano la BWANA mbele yao wakatiwote waliposafiri"
# muda wote wa mchana
"kila mchana" au "wakati wa mchana"