# Walisafiri "kiwakilishi cha "wa" kinamaanisha Waisraeli # mlima wa BWANA Huu ni mlima Sinai. "Mlima Sinai ni mlima wa BWANA" # Sandukula agano la BWANA liliwatangulia "wale wanaume walilibeba sanduku la agano la BWANA mbele yao wakatiwote waliposafiri" # muda wote wa mchana "kila mchana" au "wakati wa mchana"