sw_tn/num/10/33.md

320 B

Walisafiri

"kiwakilishi cha "wa" kinamaanisha Waisraeli

mlima wa BWANA

Huu ni mlima Sinai. "Mlima Sinai ni mlima wa BWANA"

Sandukula agano la BWANA liliwatangulia

"wale wanaume walilibeba sanduku la agano la BWANA mbele yao wakatiwote waliposafiri"

muda wote wa mchana

"kila mchana" au "wakati wa mchana"