sw_tn/num/10/14.md

20 lines
375 B
Markdown

# Kambi ya mahali pa uzao wa Yuda
Kambi hii inajumuisha makabila matatu chini ya kikosi cha Yuda: Yuda, Isakari na Zabuloni.
# iliondoka ya kwanza
"iliondoka ya 1". Kirai cha w"aliondoka" kinamaanisha walifungasha vitu vya kambi yao na kuanza safari.
# Nashoni mwana wa Aminadabu
Tazama 1:7
# Nathanaeli mwana wa Zuari
Tazama 1:7
# Eliabu mwana wa Heloni
Tazama 1:7