sw_tn/num/10/14.md

375 B

Kambi ya mahali pa uzao wa Yuda

Kambi hii inajumuisha makabila matatu chini ya kikosi cha Yuda: Yuda, Isakari na Zabuloni.

iliondoka ya kwanza

"iliondoka ya 1". Kirai cha w"aliondoka" kinamaanisha walifungasha vitu vya kambi yao na kuanza safari.

Nashoni mwana wa Aminadabu

Tazama 1:7

Nathanaeli mwana wa Zuari

Tazama 1:7

Eliabu mwana wa Heloni

Tazama 1:7