# Kambi ya mahali pa uzao wa Yuda Kambi hii inajumuisha makabila matatu chini ya kikosi cha Yuda: Yuda, Isakari na Zabuloni. # iliondoka ya kwanza "iliondoka ya 1". Kirai cha w"aliondoka" kinamaanisha walifungasha vitu vya kambi yao na kuanza safari. # Nashoni mwana wa Aminadabu Tazama 1:7 # Nathanaeli mwana wa Zuari Tazama 1:7 # Eliabu mwana wa Heloni Tazama 1:7