sw_tn/num/10/11.md

422 B

mwaka wa pili

"katika mwaka wa 2." Huu ni mwaka wa pili baada ya BWANA kuwatoa Waisraeli kutoka nchi ya Misri.

Katika siku ya ishirini, mwezi wa pili.

"katika siku ya 20, ya mwezi wa 2." Huu ni mwezi wa pili wa Kalenda ya Kihebrania.

wingu liliinuliwa

"BWANA aliliinua wingu"

masikani ya amri za maagano

Tazama 1:50

amri ya BWANA ilitolewa kupitia kwa Musa

"amri ambayo BWANA aliamuru kupitia kwa Musa"