sw_tn/num/10/11.md

20 lines
422 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwaka wa pili
"katika mwaka wa 2." Huu ni mwaka wa pili baada ya BWANA kuwatoa Waisraeli kutoka nchi ya Misri.
# Katika siku ya ishirini, mwezi wa pili.
"katika siku ya 20, ya mwezi wa 2." Huu ni mwezi wa pili wa Kalenda ya Kihebrania.
# wingu liliinuliwa
"BWANA aliliinua wingu"
# masikani ya amri za maagano
Tazama 1:50
# amri ya BWANA ilitolewa kupitia kwa Musa
"amri ambayo BWANA aliamuru kupitia kwa Musa"