# mwaka wa pili "katika mwaka wa 2." Huu ni mwaka wa pili baada ya BWANA kuwatoa Waisraeli kutoka nchi ya Misri. # Katika siku ya ishirini, mwezi wa pili. "katika siku ya 20, ya mwezi wa 2." Huu ni mwezi wa pili wa Kalenda ya Kihebrania. # wingu liliinuliwa "BWANA aliliinua wingu" # masikani ya amri za maagano Tazama 1:50 # amri ya BWANA ilitolewa kupitia kwa Musa "amri ambayo BWANA aliamuru kupitia kwa Musa"