sw_tn/num/07/06.md

488 B

Gerishono ... Merari

Tazama 3:17

kwa sababu ndivyo kazi yao ilivyohitaji

"kwa sababu hivyo ndivyo walivyowataka wafanye kazi yao"

chini ya uangalizi wa Ithamari mwana wa Haruni kuhani

"chini ya usimamizi wa Kuhani Ithamari mwana Haruni" au "Ithamri mwana wa Haruni kuhani alisimamia kazi yao"

Ithamri

Tazama 3:1

Alifanya hivi kwa sababu

Kiwakilishi "a" kinamwakilishsa Musa

kwa sababu ya uhitaji wa kazi yao

"kwa sababu hivyo ndivyo walivyowataka wafanye kazi zao"