sw_tn/num/07/06.md

24 lines
488 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Gerishono ... Merari
Tazama 3:17
# kwa sababu ndivyo kazi yao ilivyohitaji
"kwa sababu hivyo ndivyo walivyowataka wafanye kazi yao"
# chini ya uangalizi wa Ithamari mwana wa Haruni kuhani
"chini ya usimamizi wa Kuhani Ithamari mwana Haruni" au "Ithamri mwana wa Haruni kuhani alisimamia kazi yao"
# Ithamri
Tazama 3:1
# Alifanya hivi kwa sababu
Kiwakilishi "a" kinamwakilishsa Musa
# kwa sababu ya uhitaji wa kazi yao
"kwa sababu hivyo ndivyo walivyowataka wafanye kazi zao"