# Gerishono ... Merari Tazama 3:17 # kwa sababu ndivyo kazi yao ilivyohitaji "kwa sababu hivyo ndivyo walivyowataka wafanye kazi yao" # chini ya uangalizi wa Ithamari mwana wa Haruni kuhani "chini ya usimamizi wa Kuhani Ithamari mwana Haruni" au "Ithamri mwana wa Haruni kuhani alisimamia kazi yao" # Ithamri Tazama 3:1 # Alifanya hivi kwa sababu Kiwakilishi "a" kinamwakilishsa Musa # kwa sababu ya uhitaji wa kazi yao "kwa sababu hivyo ndivyo walivyowataka wafanye kazi zao"