sw_tn/num/07/01.md

599 B

Musa alikamilisha masikini

"Musa alikamilisha ujenzi wa masikani"

viongozi wa israeli na wale vichwa vya familia

"viongozi wa Israeli ambao pia ni vichwa vya familia za mababu zao"

vichwa vya familia za mababu zao

"viongozi wa familia za mababu zao"

WAlisaidia kuwahesabu watu kwenye ile sensa

"walimsaidia Haruni na Musa kuwahesabu wale wanaume"

Walileta sadaka zao kwa BWANA ... Walileta vitu hivi mbele za masikani.

"Walileta sadaka zao kwa BWANA wkazikabidhi kwake mbele ya masikani"

Wlileta magari sita yaliyofunikwa na mafahri kumi na sita

"magari sita na mafahari 12"