sw_tn/num/07/01.md

24 lines
599 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Musa alikamilisha masikini
"Musa alikamilisha ujenzi wa masikani"
# viongozi wa israeli na wale vichwa vya familia
"viongozi wa Israeli ambao pia ni vichwa vya familia za mababu zao"
# vichwa vya familia za mababu zao
"viongozi wa familia za mababu zao"
# WAlisaidia kuwahesabu watu kwenye ile sensa
"walimsaidia Haruni na Musa kuwahesabu wale wanaume"
# Walileta sadaka zao kwa BWANA ... Walileta vitu hivi mbele za masikani.
"Walileta sadaka zao kwa BWANA wkazikabidhi kwake mbele ya masikani"
# Wlileta magari sita yaliyofunikwa na mafahri kumi na sita
"magari sita na mafahari 12"