# Musa alikamilisha masikini "Musa alikamilisha ujenzi wa masikani" # viongozi wa israeli na wale vichwa vya familia "viongozi wa Israeli ambao pia ni vichwa vya familia za mababu zao" # vichwa vya familia za mababu zao "viongozi wa familia za mababu zao" # WAlisaidia kuwahesabu watu kwenye ile sensa "walimsaidia Haruni na Musa kuwahesabu wale wanaume" # Walileta sadaka zao kwa BWANA ... Walileta vitu hivi mbele za masikani. "Walileta sadaka zao kwa BWANA wkazikabidhi kwake mbele ya masikani" # Wlileta magari sita yaliyofunikwa na mafahri kumi na sita "magari sita na mafahari 12"