sw_tn/num/06/21.md

515 B

kujidhiri kwake

"kujiweka kwake wakfu"

chochote atakachotoa

"kama ataamua kutoa sadaka yeyote ya nyongeza"

lazima atafanya kama alivyoapa

"Lazima aendelee kutii matakwa ya kiapo alichoaapa"

lazima atafanya kama alivyoapa ... kulinda ahadi yake kama ilivyoaanishwa katika sheria ya mnadhiri.

Virai hivi viwili kimsingi vina maana moja. Vimetumika kuonyesha msisitizo kuwa lazima atii sheria za kiapo.

kama ilivyoaanishwa katika sheria ya mnadhiri

"kama ahadi ya sheria ya mnadhiri inavyoainisha"