sw_tn/num/06/21.md

20 lines
515 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kujidhiri kwake
"kujiweka kwake wakfu"
# chochote atakachotoa
"kama ataamua kutoa sadaka yeyote ya nyongeza"
# lazima atafanya kama alivyoapa
"Lazima aendelee kutii matakwa ya kiapo alichoaapa"
# lazima atafanya kama alivyoapa ... kulinda ahadi yake kama ilivyoaanishwa katika sheria ya mnadhiri.
Virai hivi viwili kimsingi vina maana moja. Vimetumika kuonyesha msisitizo kuwa lazima atii sheria za kiapo.
# kama ilivyoaanishwa katika sheria ya mnadhiri
"kama ahadi ya sheria ya mnadhiri inavyoainisha"