# kujidhiri kwake "kujiweka kwake wakfu" # chochote atakachotoa "kama ataamua kutoa sadaka yeyote ya nyongeza" # lazima atafanya kama alivyoapa "Lazima aendelee kutii matakwa ya kiapo alichoaapa" # lazima atafanya kama alivyoapa ... kulinda ahadi yake kama ilivyoaanishwa katika sheria ya mnadhiri. Virai hivi viwili kimsingi vina maana moja. Vimetumika kuonyesha msisitizo kuwa lazima atii sheria za kiapo. # kama ilivyoaanishwa katika sheria ya mnadhiri "kama ahadi ya sheria ya mnadhiri inavyoainisha"