sw_tn/num/06/09.md

12 lines
323 B
Markdown

# kukitia unajisi kichwa chake
Neno "kichwa"linamaanisha nywele za mnadhiri ambazo ni ishara ya kiapo chake. "amezinajisi nywele zake ambazo zinamwosha kila mtu kuwa kuwa amejitenga kwa ajili ya Mungu"
# katika siku ya kujitakasa
"katika siku ambayo mwenyewe anajiweka kukubalika kwa Mungu"
# siku ya saba
"siku YA 7"