# kukitia unajisi kichwa chake Neno "kichwa"linamaanisha nywele za mnadhiri ambazo ni ishara ya kiapo chake. "amezinajisi nywele zake ambazo zinamwosha kila mtu kuwa kuwa amejitenga kwa ajili ya Mungu" # katika siku ya kujitakasa "katika siku ambayo mwenyewe anajiweka kukubalika kwa Mungu" # siku ya saba "siku YA 7"