sw_tn/num/06/09.md

323 B

kukitia unajisi kichwa chake

Neno "kichwa"linamaanisha nywele za mnadhiri ambazo ni ishara ya kiapo chake. "amezinajisi nywele zake ambazo zinamwosha kila mtu kuwa kuwa amejitenga kwa ajili ya Mungu"

katika siku ya kujitakasa

"katika siku ambayo mwenyewe anajiweka kukubalika kwa Mungu"

siku ya saba

"siku YA 7"