sw_tn/num/06/05.md

20 lines
455 B
Markdown

# Nadhiri yake
Neno nadhiri humaanisha "kuwekwa wakfu"
# wembe usipite kichwani mwake
"asipatikane mtu wa kutumia wembe juu ya kichwa chake"
# siku za nadhiri yake kwa BWANA
Neno "nadhiri" ni "nomino zahania ambalo linweza kutumika kama kitenzi. Neno "nadhiri" hapa hapa linamaanisha kuwekwa wakfu. "siku ambazoamejiweka wakfu kwa BWANA"
# kwa BWANA zitimilike
kwa BWANA zitimilike
# Lazima ajitenge kwa BWANA
Lazima ajitenge mwenyewe kwa BWANA