sw_tn/num/06/05.md

455 B

Nadhiri yake

Neno nadhiri humaanisha "kuwekwa wakfu"

wembe usipite kichwani mwake

"asipatikane mtu wa kutumia wembe juu ya kichwa chake"

siku za nadhiri yake kwa BWANA

Neno "nadhiri" ni "nomino zahania ambalo linweza kutumika kama kitenzi. Neno "nadhiri" hapa hapa linamaanisha kuwekwa wakfu. "siku ambazoamejiweka wakfu kwa BWANA"

kwa BWANA zitimilike

kwa BWANA zitimilike

Lazima ajitenge kwa BWANA

Lazima ajitenge mwenyewe kwa BWANA