# Nadhiri yake Neno nadhiri humaanisha "kuwekwa wakfu" # wembe usipite kichwani mwake "asipatikane mtu wa kutumia wembe juu ya kichwa chake" # siku za nadhiri yake kwa BWANA Neno "nadhiri" ni "nomino zahania ambalo linweza kutumika kama kitenzi. Neno "nadhiri" hapa hapa linamaanisha kuwekwa wakfu. "siku ambazoamejiweka wakfu kwa BWANA" # kwa BWANA zitimilike kwa BWANA zitimilike # Lazima ajitenge kwa BWANA Lazima ajitenge mwenyewe kwa BWANA