sw_tn/num/06/01.md

36 lines
759 B
Markdown

# ataweka nadhiri ... kwa kuwa ni mnadhiri
"kuwa mnadhiri" maana yake ni kujiweka wakfu"
# atajiepusha
Hii nahau inamaanisha kuwa mtu huyo lazima asinywe hivyo vinywaji wala chakula kilichokatazwa.
# kilio kiinachotengenezwa na siki
"kileo ambacho watu hutengeneza kutokana na siki"
# siki
ni kinywaji kinachotokana na divai ilichachushwa kwa muda mrefu na kuwa kinywaji kikali na kichungu
# kilevi
"au siki iliyotengenezwa kutokana na divai kali"
# zabibu zilizokauka
"zabibu zilizokaushwa"
# ambazo amejitenga
"amejitenga kwa ajili yangu"
# asile chochote kinachotokana na zabibu
"asile chochote ambacho watu huetengeneza kutokana na zabibu"
# wala kitu chochote kitokanacho na makokwa hadi maganda
"kutokana na kitu chochote cha mizabibu"