sw_tn/num/06/01.md

759 B

ataweka nadhiri ... kwa kuwa ni mnadhiri

"kuwa mnadhiri" maana yake ni kujiweka wakfu"

atajiepusha

Hii nahau inamaanisha kuwa mtu huyo lazima asinywe hivyo vinywaji wala chakula kilichokatazwa.

kilio kiinachotengenezwa na siki

"kileo ambacho watu hutengeneza kutokana na siki"

siki

ni kinywaji kinachotokana na divai ilichachushwa kwa muda mrefu na kuwa kinywaji kikali na kichungu

kilevi

"au siki iliyotengenezwa kutokana na divai kali"

zabibu zilizokauka

"zabibu zilizokaushwa"

ambazo amejitenga

"amejitenga kwa ajili yangu"

asile chochote kinachotokana na zabibu

"asile chochote ambacho watu huetengeneza kutokana na zabibu"

wala kitu chochote kitokanacho na makokwa hadi maganda

"kutokana na kitu chochote cha mizabibu"