# ataweka nadhiri ... kwa kuwa ni mnadhiri "kuwa mnadhiri" maana yake ni kujiweka wakfu" # atajiepusha Hii nahau inamaanisha kuwa mtu huyo lazima asinywe hivyo vinywaji wala chakula kilichokatazwa. # kilio kiinachotengenezwa na siki "kileo ambacho watu hutengeneza kutokana na siki" # siki ni kinywaji kinachotokana na divai ilichachushwa kwa muda mrefu na kuwa kinywaji kikali na kichungu # kilevi "au siki iliyotengenezwa kutokana na divai kali" # zabibu zilizokauka "zabibu zilizokaushwa" # ambazo amejitenga "amejitenga kwa ajili yangu" # asile chochote kinachotokana na zabibu "asile chochote ambacho watu huetengeneza kutokana na zabibu" # wala kitu chochote kitokanacho na makokwa hadi maganda "kutokana na kitu chochote cha mizabibu"