sw_tn/num/05/29.md

328 B

sheria ya wivu

"sheria inayoshughulikia maswala ya wivu"

anayekengeuka kwa mume wake

"ambaye si mwaminifu kwa mumewe"

na kunajisika

"na kujinajisi mwenyewe"

ile roho ya wivu

tazama 5:13

mwenye roho ya wivu kwa mkewe

"kumwonea wivu mke wake kuwa si mwaminifu kwake"

mbele ya BWANA

"katika uwepo wa BWANA"