# sheria ya wivu "sheria inayoshughulikia maswala ya wivu" # anayekengeuka kwa mume wake "ambaye si mwaminifu kwa mumewe" # na kunajisika "na kujinajisi mwenyewe" # ile roho ya wivu tazama 5:13 # mwenye roho ya wivu kwa mkewe "kumwonea wivu mke wake kuwa si mwaminifu kwake" # mbele ya BWANA "katika uwepo wa BWANA"