sw_tn/num/05/29.md

24 lines
328 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sheria ya wivu
"sheria inayoshughulikia maswala ya wivu"
# anayekengeuka kwa mume wake
"ambaye si mwaminifu kwa mumewe"
# na kunajisika
"na kujinajisi mwenyewe"
# ile roho ya wivu
tazama 5:13
# mwenye roho ya wivu kwa mkewe
"kumwonea wivu mke wake kuwa si mwaminifu kwake"
# mbele ya BWANA
"katika uwepo wa BWANA"