sw_tn/num/05/27.md

481 B

kama alinajisika kwa sababu alifanya uovu

"kama alikwa amejinajisi mwenyewe kwa sababu ya kufanya uovu"

alifanya uovu

"alifanya uzinzi"

Tumbo lake litavimba na paja lake litavimba

Tazama 5:20

Yule mwanamke atalaaniwa kati ya watu wake

"Watu wake watamlaani"

hajanajisika

"hajajinajisi mwenyewe"

na kama ni msafi

"hana hatia"

basi atakuwa huru

yaweza kumaanisha 1)"basi hatalaaniwa 2) "basi yuko huru katika hatia"

atabeba ujauzito

"atakuwa mjamzito"