# kama alinajisika kwa sababu alifanya uovu "kama alikwa amejinajisi mwenyewe kwa sababu ya kufanya uovu" # alifanya uovu "alifanya uzinzi" # Tumbo lake litavimba na paja lake litavimba Tazama 5:20 # Yule mwanamke atalaaniwa kati ya watu wake "Watu wake watamlaani" # hajanajisika "hajajinajisi mwenyewe" # na kama ni msafi "hana hatia" # basi atakuwa huru yaweza kumaanisha 1)"basi hatalaaniwa 2) "basi yuko huru katika hatia" # atabeba ujauzito "atakuwa mjamzito"