sw_tn/num/05/27.md

32 lines
481 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kama alinajisika kwa sababu alifanya uovu
"kama alikwa amejinajisi mwenyewe kwa sababu ya kufanya uovu"
# alifanya uovu
"alifanya uzinzi"
# Tumbo lake litavimba na paja lake litavimba
Tazama 5:20
# Yule mwanamke atalaaniwa kati ya watu wake
"Watu wake watamlaani"
# hajanajisika
"hajajinajisi mwenyewe"
# na kama ni msafi
"hana hatia"
# basi atakuwa huru
yaweza kumaanisha 1)"basi hatalaaniwa 2) "basi yuko huru katika hatia"
# atabeba ujauzito
"atakuwa mjamzito"