sw_tn/num/05/20.md

32 lines
795 B
Markdown

# chini ya mume wako
"chini ya mamlaka ya mume wake"
# umekengeuka
"hakuwa mwaminifu kwa mume wake"
# umenajisika
"umejinajisi mwenyewe"
# kinachoweza kuleta laana kwake
"ambacho kinaweza kusababisha laana kuja"
# BWANA atakufanya wewe kuwa laana ... kuwa hivyo kwa watu wako
Kwa sababu BWANA anakulaani, watu wengine watakulaani pia, na BWANA atawaonyesha watu kuwa umelaaniwa kabisa"
# itakayooneshwa kuwa hivyo kwa watu wako
"atakayoionesha kwa watu wako kuwa laana"
# na kulifanya tumbo lako kuvimba na mapaja yako kuoza
Maana ya sentensi hii yaweza kuwa: 1) mwanamke hataweza kuzaa watoto. 2) mimba ya mwanamke itakooma mapema na yule mtoto atakufa.
# mapaja yako kuoza
Neno mapaja, ni tafsida inayoonesha tumbo la mwanamke au sehemu zake za siri. "tumbo lako kuwa si kitu"