sw_tn/num/05/20.md

795 B

chini ya mume wako

"chini ya mamlaka ya mume wake"

umekengeuka

"hakuwa mwaminifu kwa mume wake"

umenajisika

"umejinajisi mwenyewe"

kinachoweza kuleta laana kwake

"ambacho kinaweza kusababisha laana kuja"

BWANA atakufanya wewe kuwa laana ... kuwa hivyo kwa watu wako

Kwa sababu BWANA anakulaani, watu wengine watakulaani pia, na BWANA atawaonyesha watu kuwa umelaaniwa kabisa"

itakayooneshwa kuwa hivyo kwa watu wako

"atakayoionesha kwa watu wako kuwa laana"

na kulifanya tumbo lako kuvimba na mapaja yako kuoza

Maana ya sentensi hii yaweza kuwa: 1) mwanamke hataweza kuzaa watoto. 2) mimba ya mwanamke itakooma mapema na yule mtoto atakufa.

mapaja yako kuoza

Neno mapaja, ni tafsida inayoonesha tumbo la mwanamke au sehemu zake za siri. "tumbo lako kuwa si kitu"