# chini ya mume wako "chini ya mamlaka ya mume wake" # umekengeuka "hakuwa mwaminifu kwa mume wake" # umenajisika "umejinajisi mwenyewe" # kinachoweza kuleta laana kwake "ambacho kinaweza kusababisha laana kuja" # BWANA atakufanya wewe kuwa laana ... kuwa hivyo kwa watu wako Kwa sababu BWANA anakulaani, watu wengine watakulaani pia, na BWANA atawaonyesha watu kuwa umelaaniwa kabisa" # itakayooneshwa kuwa hivyo kwa watu wako "atakayoionesha kwa watu wako kuwa laana" # na kulifanya tumbo lako kuvimba na mapaja yako kuoza Maana ya sentensi hii yaweza kuwa: 1) mwanamke hataweza kuzaa watoto. 2) mimba ya mwanamke itakooma mapema na yule mtoto atakufa. # mapaja yako kuoza Neno mapaja, ni tafsida inayoonesha tumbo la mwanamke au sehemu zake za siri. "tumbo lako kuwa si kitu"