sw_tn/num/05/11.md

12 lines
337 B
Markdown

# kama mke wa mtu ataasi na kuafanya dhambi dhidi ya mume wake
Hiki ni kituambacho kinaweza kutokea, BWANA anamwambia Musa jinsi ya kufanya iwapo kama kitu hiki kitatokea.
# Mke wa mtu ataasi
kama mke wa mtu si mwamiinifu
# na kufanya dhdambi dhidi ya mume wake
"akafanya dhambi dhidi ya mume wake kwa kulala na mwanamume mwingine"